Werrason: Sankara DEKUNTA version deux ya Dallas USA aye lisusu kopanza nteke

Msanii supastaa wa bongofleva Naseeb Abduli “Diamond Platnumz” amefunguka jambo muhimu sana kuhusu nyota mwingine wa ‘long time’ AY. Diamond kupitia ukurasa wake wa facebook amebainisha kuwa AY ndiye aliyemfungulia njia ya kung’ara kimataifa. Diamond alikuwa akiyasema hayo wakati akimtakia AY heri ya siku ya kuzaliwa. Hivi ndivyo alivyoandika: Misingi na daraja imara la kimataifa ulio tujengea na unayozidi kutujengea ndio leo inatusaidia vijana wako nasi kuweza kupenyeza na kutangaza kazi zetu kimataifa... Pengine watu hawajui kuwa wewe ndio uliyeniwezesha kufanikisha collabo langu na Davido, kuniunga na Godfather na vingi ambavyo naamini ndio mwanzo wa safari yangu ya kimataifa... nakuheshim sana Brother, na daima nitahakikisha sikuangushi...Happy birthday Bro @Aytanzania.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/diamond-afunguka-jambo-zito-kuhusu-ay.html
Copyright © saluti5

Werrason: Sankara DEKUNTA version deux ya Dallas USA aye lisusu kopanza nteke https://www.youtube.com/watch?v=CBDrk5sCozA&feature=youtu.be

Msanii supastaa wa bongofleva Naseeb Abduli “Diamond Platnumz” amefunguka jambo muhimu sana kuhusu nyota mwingine wa ‘long time’ AY. Diamond kupitia ukurasa wake wa facebook amebainisha kuwa AY ndiye aliyemfungulia njia ya kung’ara kimataifa. Diamond alikuwa akiyasema hayo wakati akimtakia AY heri ya siku ya kuzaliwa. Hivi ndivyo alivyoandika: Misingi na daraja imara la kimataifa ulio tujengea na unayozidi kutujengea ndio leo inatusaidia vijana wako nasi kuweza kupenyeza na kutangaza kazi zetu kimataifa... Pengine watu hawajui kuwa wewe ndio uliyeniwezesha kufanikisha collabo langu na Davido, kuniunga na Godfather na vingi ambavyo naamini ndio mwanzo wa safari yangu ya kimataifa... nakuheshim sana Brother, na daima nitahakikisha sikuangushi...Happy birthday Bro @Aytanzania.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/diamond-afunguka-jambo-zito-kuhusu-ay.html
Copyright © saluti5

DIAMOND AFUNGUKA JAMBO ZITO KUHUSU AY A+ A- Print Email Msanii supastaa wa bongofleva Naseeb Abduli “Diamond Platnumz” amefunguka jambo muhimu sana kuhusu nyota mwingine wa ‘long time’ AY. Diamond kupitia ukurasa wake wa facebook amebainisha kuwa AY ndiye aliyemfungulia njia ya kung’ara kimataifa. Diamond alikuwa akiyasema hayo wakati akimtakia AY heri ya siku ya kuzaliwa. Hivi ndivyo alivyoandika: Misingi na daraja imara la kimataifa ulio tujengea na unayozidi kutujengea ndio leo inatusaidia vijana wako nasi kuweza kupenyeza na kutangaza kazi zetu kimataifa... Pengine watu hawajui kuwa wewe ndio uliyeniwezesha kufanikisha collabo langu na Davido, kuniunga na Godfather na vingi ambavyo naamini ndio mwanzo wa safari yangu ya kimataifa... nakuheshim sana Brother, na daima nitahakikisha sikuangushi...Happy birthday Bro @Aytanzania.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/diamond-afunguka-jambo-zito-kuhusu-ay.html
Copyright © saluti5
Msanii supastaa wa bongofleva Naseeb Abduli “Diamond Platnumz” amefunguka jambo muhimu sana kuhusu nyota mwingine wa ‘long time’ AY. Diamond kupitia ukurasa wake wa facebook amebainisha kuwa AY ndiye aliyemfungulia njia ya kung’ara kimataifa. Diamond alikuwa akiyasema hayo wakati akimtakia AY heri ya siku ya kuzaliwa. Hivi ndivyo alivyoandika: Misingi na daraja imara la kimataifa ulio tujengea na unayozidi kutujengea ndio leo inatusaidia vijana wako nasi kuweza kupenyeza na kutangaza kazi zetu kimataifa... Pengine watu hawajui kuwa wewe ndio uliyeniwezesha kufanikisha collabo langu na Davido, kuniunga na Godfather na vingi ambavyo naamini ndio mwanzo wa safari yangu ya kimataifa... nakuheshim sana Brother, na daima nitahakikisha sikuangushi...Happy birthday Bro @Aytanzania.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/07/diamond-afunguka-jambo-zito-kuhusu-ay.html
Copyright © saluti5

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment